Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

TASWIRA: NDOVU SPECILA MALT CRYSTAL BAR ILIVYOFUNIKA JIJINI ARUSHA

Meneja wa Bia ya Ndovu Special Malt, Pamela Kikuli (kulia) akipokea kinywaji chake cha Ndovu wakati wa awamu ya pili ya Burudani ndani ya Crystal Bar iliyowakutanisha pamoja marafiki na wadau mbalimbali wa Bia hiyo katika Ukimbi wa Masai Camp jijini Arusha mwishoni mwa wiki.

Meneja wa Bia ya Ndovu Special Malt, Pamela Kikuli (kulia) akiwa pamoja na marafiki na wadau wa Bia ya Ndovu wakati wa awamu ya pili ya Burudani ndani ya Crystal Bar iliyowakutanisha pamoja marafiki na wadau mbalimbali wa Bia hiyo katika Ukimbi wa Masai Camp jijini Arusha mwishoni mwa wiki.

Wadau wa Ndovu Special Malt, wakiwa pamoja katika meza yao wakipata burudani huklu wakinywa Ndovu Special Malt wakati wa awamu ya pili ya Burudani ndani ya Crystal Bar iliyowakutanisha pamoja marafiki na wadau mbalimbali wa Bia hiyo katika Ukimbi wa Masai Camp jijini Arusha mwishoni mwa wiki.

Wadau wengine waliamua kukaa kaunta na kushusha taratibu kinywaji cha Ndovu Special Malt wakati wa awamu ya pili ya Burudani ndani ya Crystal Bar iliyowakutanisha pamoja marafiki na wadau mbalimbali wa Bia hiyo katika Ukimbi wa Masai Camp jijini Arusha mwishoni mwa wiki.

Kijana akitoa burudani kwa mashabiki na wapenzi wa Bia ya Ndovu Special Malt wakati wa awamu ya pili ya Burudani ndani ya Crystal Bar iliyowakutanisha pamoja marafiki na wadau mbalimbali wa Bia hiyo katika Ukimbi wa Masai Camp jijini Arusha mwishoni mwa wiki.

Ndovu Special Malt ndio mambo yoteee.....

Warembo wa Ndovu Special Malt.

Wadau wakilisakata rumba ndani ya Ndopvu Special Malt Crystal Bar iliyofanyika mwishoni mwa wiki katika ukumbi wa Masai Camp jijini Arusha.

Ndovu Special Malt imewakutanisha pamoja Mameneja wa Chapa mbalimbali za Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kutoka kushoto Meneja wa Kinywaji cha Redd’s, Victoria Kimaro, Meneja wa Safari Lager, Oscar Shelukindo pamoja na Meneja wa Ndovu Special Malt, Pamela Kikuli wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa awamu ya pili ya Burudani ndani ya Crystal Bar iliyowakutanisha pamoja marafiki na wadau mbalimbali wa Bia hiyo katika Ukimbi wa Masai Camp jijini Arusha mwishoni mwa wiki.

Wadau na vilaji vyao.

Picha zote na MUHIDIN MICHUZI Jumapili, Machi 24, 2013

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO