Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Taswira: Mkutano wa Hadhara na Kongamano la Baraza la Vijana wa Chadema (BAVICHA) Ulivyofana Mbulu

kamanda  Jackson Makala akihutubia mkutano wa hadhara wa bavicha Mbulu

Kamanda Jackson Makala akizungumza wakati wa kuchangia hoja za Elimu,Rasilimali na Utawala Bora   wakati wa kongamano la Vijana wa Chadema Mbulu. Picha kwa hisani ya Haki Ngowi.Com

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO