Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

TASWIRA: JINSI REAL MADRID ILIVYOIONDOSHA MANCHETER UNITED LIGI YA MABINGWA ULAYA KWA BAO 2-1 UWANJA WA OLD TRAFFORD ENGLAND

Real Madrid's Portuguese forward Cristiano Ronaldo (left) is challenged by Manchester United's Brazilian defender Rafael (right) during the Uefa Champions League round of 16 second leg football match between Manchester United and Real Madrid at Old Trafford in Manchester, north-west England, on March 5, 2013. -- PHOTO: AFP<br />

RONALD mbele akimtoka beki wa Mancheter United Rafael

MANCHESTER, ENGLAND - MARCH 05:  Luka Modric of Real Madrid scores his team's first goal during the UEFA Champions League Round of 16 Second leg match between Manchester United and Real Madrid at Old Trafford on March 5, 2013 in Manchester, United Kingdom.

Ruca Modrich wa Real Madrid akifunga bao mbele ya wachezaji wa Mancheter United.

MANCHESTER, ENGLAND - MARCH 05:  Cristiano Ronaldo of Real Madrid (R) scores his team's second goal during the UEFA Champions League Round of 16 Second leg match between Manchester United and Real Madrid at Old Trafford on March 5, 2013 in Manchester, United Kingdom.Golikipa wa Mancheter United De gea akiangalia mpira ukitinga wavuni.

Manchester United's Brazilian defender Rafael (L) competes with Real Madrid's Argentinian midfielder Angel di Maria (R) during the UEFA Champions League round of 16 second leg football match between Manchester United and Real Madrid at Old Trafford in Manchester, northwest England on March 5, 2013.Manchester United's Brazilian defender Rafael (L) competes with Real Madrid's Argentinian midfielder Angel di Maria (R) during the UEFA Champions League round of 16 second leg football match between Manchester United and Real Madrid at Old Trafford in Manchester, northwest England on March 5, 2013.MANCHESTER, ENGLAND - MARCH 05:  Robin van Persie of Manchester United competes with Sami Khedira of Real Madrid during the UEFA Champions League Round of 16 Second leg match between Manchester United and Real Madrid at Old Trafford on March 5, 2013 in Manchester, United Kingdom.Mshambuliaji wa Mancheter United ya ENGLAND, Robin van Persie akimiliki mpira dhidi ya mchezaji wa Real Madrid, Sami Khedira wakati wa mchezo wa UEFA katika uwanja wa Old Trafford.

Manchester United's Serbian defender Nemanja Vidic (L) jumps for the ball as Real Madrid's goalkeeper Diego Lopez (R) comes to punch during the UEFA Champions League round of 16 second leg football match between Manchester United and Real Madrid at Old Trafford in Manchester, northwest England on March 5, 2013.

Manchester Mlinzi wa Manchester United, Nemanja Vidic (L) akiruka juu kuwania mpira na na golikipa wa Real Madrid, Diego Lopez.

Real Madrid's Portuguese forward Cristiano Ronaldo (R) is challenegd by Manchester United's Welsh midfielder Ryan Giggs (L) during the UEFA Champions League round of 16 second leg football match between Manchester United and Real Madrid at Old Trafford in Manchester, northwest England on March 5, 2013.Winga wa Mancheter United, RYAN GIGS kushoto akipiga mahesabu ya kumpokonya mpira Cristian Ronald wa Real Madrid.

Manchester United's Dutch striker Robin van Persie miss-kicks the ball during the UEFA Champions League round of 16 second leg football match between Manchester United and Real Madrid at Old Trafford in Manchester, northwest England on March 5, 2013.

Mshambuliaji wa Mancheter Unites, Robin van Persie akiwa katika haraka zake uwanjani wakati wa mchezo dhidi ya Real Madrid.

Real Madrid's German midfielder Mesut Ozil (R) competes with Manchester United's English midfielder Tom Cleverley (L) during the UEFA Champions League round of 16 second leg football match between Manchester United and Real Madrid at Old Trafford in Manchester, northwest England on March 5, 2013.

Mlinzi wa Real Madrid Mesut Ozil kulia akichuana na mlinzi wa Manchester United, Tom Cleverley kushoto  katika mchezo huo.

MANCHESTER, ENGLAND - MARCH 05:  Wayne Rooney of Manchester United looks dejected during the UEFA Champions League Round of 16 Second leg match between Manchester United and Real Madrid at Old Trafford on March 5, 2013 in Manchester, United Kingdom.

Mshambuliaji wa Mancheter United Wyney Roony akiwa anahuzunika baada ya kutolewa katika ligi ya mabingwa dhidi ya Real Madrid uwanja wa Old Trofford.

MANCHESTER, ENGLAND - MARCH 05:   The Real Madrid players line up for a team photo prior to the UEFA Champions League Round of 16 Second leg match between Manchester United and Real Madrid at Old Trafford on March 5, 2013 in Manchester, United Kingdom.Kikosi cha Real Madrid

MANCHESTER, ENGLAND - MARCH 05:  The Manchester United players line up for a team photo prior to the UEFA Champions League Round of 16 Second leg match between Manchester United and Real Madrid at Old Trafford on March 5, 2013 in Manchester, United Kingdom.Kikosi cha Machester United

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO