Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

TASWIRA: NDOA YA MSANII WA HIP HOP JCB MAKALA KUTOKA ARUSHA TANZANIA

JCB akianguka sahihi katika kitabu cha kuandikisha ndoa.

Msanii wa miondoko ya hip hop kutoka A City - Arusha a.k.a JCB Makalla ameuaga ukapela juzi kati na kufunga ndoa na mwana dada Diana hapo juu pichani.
JCB akizungumza na mabloga wa Arusha, majira ya  jioni, msanii huyu alikili kufunga ndoa na kipenzi chake ambae tayari walikuwa wemejaaliwa kupata mtoto mmoja wa kiume anayekwenda kwa jina la Albert.

JCB akiwa na mkewe Diana wakati wa kusaini vitabu vya ndoa.

Diana mke wa JCB akichora sahihi katika kitabu cha ndoa.

JCB akiwa na mke wake DIANA

Ndugu Jamaa na marafiki waliohudhuria tukio

Stori iliandikwa na Asili Yetu Blog, Februari 23, 2013

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO