Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

KENYA: UHURU KENYATTA ,WILLIAM RUTO KATIKA KAMPENI ZA MWISHO KABLA YA UCHAGUZI JUMATATUMACHI 4, 2013

Kutoka kushoto:Uhuru Kenyatta na William Ruto wakiteta Jambo katika kampeni zao za mwisho za uchaguzi ujao wa Kenya ,utakaofanyika jumatatu tarehe 4/3/2013 ,walitembelea mitaa ya Kapkatet, Bungoma na Homabay nchini Kenya ,wao wakiwakilisha kundi la JUBILEE.

Uhuru Kenyatta(gari la bluu)  na William Ruto (gari jekundu) wakiwa katika magari ya wazi katika kampeni zao za mwisho za uchaguzi ujao wa Kenya ,utakaofanyika jumatatu tarehe 4/3/2013 ,walitembelea mitaa ya Kapkatet, Bungoma na Homabay nchini Kenya ,wao wakiwakilisha kundi la JUBILEE.

Uhuru Kenyatta na William Ruto wakitaka kuyarudi mangoma katika kampeni zao za uchaguzi ujao wa Kenya ,utakaofanyika jumatatu tarehe 4/3/2013 ,walitembelea mitaa ya Kapkatet, Bungoma na Homabay nchini Kenya ,wao wakiwakilisha kundi la JUBILEE.

William Ruto akiteta Jambo katika kampeni za mwisho za uchaguzi ujao wa Kenya ,utakaofanyika jumatatu tarehe 4/3/2013 ,walitembelea mitaa ya Kapkatet, Bungoma na Homabay nchini Kenya ,wao wakiwakilisha kundi la JUBILEE.

Huu ni UMATI wa watu waliokuja kuhudhuria kampeni za JUBILEE katika mitaa ya Kapkatet, Bungoma na Homabay ,uchaguzi utakafanyika jumatatu tarehe 4/3/2013

Mwana dada akifurahia kampeni za upande wa JUBILEE ,akiwa amevaliwa vazi lenye jina la chama cha TNA ambacho Uhuru Kenyatta ndie anakiwania nacho urais wa Kenya Jumatatu Ijayo. PICHA KWA HISANI YA WAZALENDO BLOG

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO