Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Kufuzu Kombe la Dunia 2014: Taifa Stars kuikabili Morocco Dar es Salaam leo

Leo ndio leo Uwanja wa Taifa wakati Taifa Stars itakapowakaribisha Morocco katika mchezo wa kutafuta nafasi ya kwenda kwenye michuano ya kombe la dunia nchini Brazil 2014. Stars inayodhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager ambayo inashikilia nafasi katika kundi lake linaloongozwa na Ivory Coast inahitaji ushindi ili ikae kileleni huku kukiwa na michezo mingine miwili. Kocha wa Taifa Stars Kim Poulsen na nahodha Juma Kaseja wamewasisitiza Watanzania kujitokeza kwa wingi kuishangilia timu ili ifanye vizuri. Kila la heri Stars.

Taarifa hii imekujia kwa hisani ya Kilimanjaro Premium Lager

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO