Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

JK Kufunga Mkutano Wa LAPF Unaoendelea Mjini Arusha Leo

Mkurugenzi mkuu wa Lapf Eliud Sanga pichani katikati akizungumza na vyombo vya habari kuelezea mkutano ulionza jana wa wanachama wa mfuko huo wa jamii ambapo mkutano huo utafungwa leo na Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete. Kushoto kwake ni afisa uhusiano wa mfuko huo Endruw Kueyana na kulia ni afisa masoko Mablangeti. Mkutano huo unafanyika katika ukumbi Kimataifa wa AICC Jijini Arusha kwa siku mbili kuanzia jana. Picha na Mahmoud Ahmad Arusha, kupitia Blog ya Magid Mjengwa
Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO