Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Taswira: Chris Mbajo na Harakati za M4C Wilayani Same

Makaribisho katika ofisi ya chama

Pamoja na umri kuonekana kama unataka kumtupa mkono, mzee huyu alivutiwa na juudi za CHADEMA na kuamua kujiunga nayo

DSC04374Kikosi kazi alicoambatana nacho. Wengi wao ni wenyeji na wakaazi wa Same

Mbajo akipata ufafanuzi kutoka kwa wenyeji wake

DSC04431Wanachama wapya, mmoja wa wazee alielezwa kuwa mtu muhimu sana kwa CCM hapo awali kabla ya kuamua kujiunga na CHADEMA katika ziara hiyo ya Mbajo.

DSC04416

DSC04427Kikao cha ndani, kujengeana uwezo na kuweka mikakati ya pamoja

DSC04405Iliwalazimu pia kushiriki matukio ya kijamii kama hili la msiba ambalo walikutana nalo wakiwa ziarani kwa shughuli za kichama.

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

1 maoni:

Anonymous said...

Kamanda Mbajo; naomba namba yako; namba yangu ni 0715933308 na 0754933308

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO