Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Lissu ahudhuria mkutano wa Chadema Sokoni One Arusha jana

Lisu sokoni oneMh Tundu Lissu katika benchi pamoja na viongozi wengine wa Chadema Arusha akifuatilia hotuba katika mkutano wa chama chake uliofanyika eneo la Sokoni one, Arusha. Lissu ni mmoja wa mawakili wanaomtetea Lema katika rufaa ya kupinga kuenguliwa ubunge wake, rufaa ambayo iliahirishwa hadi terehe 2 Oktoba, 2012.

Lisu sokoni one1Mh Lema nae akizungumza katika mkutano huo wa jana

Lema kamanda wa  oparesheni uchaguzi wa Kata ya Daraja 2

Aidha, katika hatua nyingine, imeelezwa kuwa kampeni za chama hicho katika Kata ya Daraja 2 zinatarajiwa kuanza octoba 3 hadi 27 mwaka huu ambapo Lema ameteuliwa kuwa mkuu wa kikosi kazi oparesheni hiyo katika Kata hiyo.

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO