Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

TASWIRA–JINSI VURUGU ZILIVYOKUWA UCHAGUZI MDOGO BUBUBU ZANZIBAR JANA

Kumekuwa na vurugu za hapa na pale, Polisi kupambana na vijana kwenye kituo cha kupigia kura wakati wa  uchaguzi mdogo kumchagua Mwakilishi wa jimbo la Bububu Zanzibar jana. Pichani chini, Polisi wa kuzuia ghasia wakisaidiwa na kikosi cha Valantia  kuwaondoa vijana   waliojikusanya karibu na kituo cha kupigia kura  kwenye  Shule ya Bububu.Picha zote na Martin Kabemba.

Baadhi ya mawakala wa vyama wakifuatilia upigaji kura.

Kijana akitumbukiza kura yake kwenye kisanduku cha kupigia kura jwenye kituo cha Shule ya Bububu Zanzibar

Kiongozi wa chama cha siasa (kushoto) akizungumza na wandishi wa habari nje ya kituo cha kupigia kura

SOURCE: RICHARD MWAIKENDA

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO