Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Taswira: Ziara ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad aendelea nchini Marekani

  Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akisalimiana na msaidizi Waziri wa Mambo ya nje wa Marekani (mambo ya Afrika) John Carlson mara tu baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika katika ofisi za Wizara hiyo mjini Washington.

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akizungumza na viongozi wa shirika la USAID mjini Washington. Kushoto ni balozi wa Tanzania nchini Marekani, Mwanaidi Maajar. Picha na, Mpiga picha maalum USA, kupitia Hassan Hamad kutoka Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar

Source: Haki Ngowi

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO