Mbunge wa Iringa,mjini kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo- CHADEM, Mh Peter Msigwa jioni ya leo amehutubia umati mkubwa wa wakazi wa Iringa Mjini. Katika hotuba yake, Msigwa amesema kuwa, hayati Daud Mwangosi ni shujaa ambae atakumbukwa daima
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment