Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

News Updates: Rufaa ya Mh Godbless Lema kupinga kuvuliwa Ubunge inaendelea kusikilizwa muda huu Mahakama Kuu Arusha

DSCN5261

lema rufaa

DSCN5262

DSCN5263Wananchi wangi wao wakiwa wafuasi wa Chadema wakifuatilia kesi hiyo kama walivyonaswa na kamera yetu asubuhi hii. Watu waliojitokea wako maeneo tofauti na wengine katika makundi makundi wakijadili. Kuna ambao wako ndani ya ukumbi wa Mahakama, wengine wako ndani ya uzio wa eneo la Mahakama na wengine wako nje ya zuio na wote wanafuatilia kwa karibu shauri hilo.

Picha zaidi na matukio zaidi baadae kidogo…

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO