Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Ripoti ya Vazi la taifa Yakabidhiwa Serikalini

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dkt. Fenella Mukangara akikabidhiwa rasmi Ripoti ya Kamati ya Vazi la Taifa leo Jijini Dar es Salaam. Kamati hiyo imekabidhi rasmi ripoti yake kwa Mhe. Waziri ambapo pamoja na mambo mengine inaainisha mapendekezo mbalimbali ya vitambaa vinavyopendekezwa kuwa Vazi la Taifa.

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dkt. Fenella Mukangara  akionyesha Ripoti ya  Kamati ya Vazi la Taifa  kwa Waandishi wa Habari ( hawapo pichani) mara baada ya kukabidhiwa  rasmi Ripoti hiyo leo Jijini Dar es Salaam. Wengine ni baadhi ya Wajumbe wa Kamati hiyo.

Picha na Concilia Niyibitanga wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, kupitia Mjengwa Blog

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO