Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Lema anaunguruma Arusha muda huu..

DSCF6063Mh Lema jukwaani mara baada ya kukaribishwa na Nassari

DSC05719

DSCF6040Mbunge wa Arumeru Mashariki, Mh Joshua Nassari akizungumza mkutanoni hapo

DSC05712Mh Lema kiwa na Mh Joshua Nassari kabla ya hotuba zao

DSC05731

DSCF6044

DSC05711

DSC05740

DSCF6035Diwani wa Kata ya Levolosi ambae pia ni Mwenyekiti wa Vijana Mkoa wa Arusha, Mh Ephata Nanyaro nae akizungumzaDSCF6052Nassari na Lema jukwaani

DSC05711Pichani ni baadhi ya wananchi ambao wamejitokeza katika viwanja jirani na Soko la Kilombero, Jijini Arusha kusikiliza hotuba za viongozi mbalimbali wa CHADEMA jioni hii.

Mkutano huu unafanyika maeneo hayo baada ya kushindwa kufanyika wiki iliyopita kutokana na uwanja wa NMC ambao walikuwa wakiutumia mara kwa mara kugawiwa wamachinga wa Jijini hapa kufanya shughuli zao za biashara.

Ikumbukwe chama cha CUF juzi jumapili kilishindwa kufanya mkutano wake kwenye uwanja wa soko la Mbauda baada ya kukomea watu kumi na moja tu.

Katika mkutano huo, Lema amekemea sana udini unaoenezwa nchini kwa makusudi na kueleza kwamba atahri zake haiztaishia kuidhoofisha Chadema pekee bali utafikia mahali pa mkristo kuchukiana na muislamu.

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO