Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Taswira: JK alipozindua barabara ya Msata-Makofia-Bagamoyo

Rais Jakaya Kikwete akizindua ujenzi wa barabara ya Msata-Makofia-Bagamoyo mkoa wa Pwani, jana. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo, Ahmed Kipozi, Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Mecky Sadik na nyuma ya Rais ni Waziri wa Ujenzi, John Magufuli

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO