Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Taswira: Makamu wa Rais Zanzibar akiwasili KIA kwa ndege ya Serikali, apokelewa na Mkuu wa Mkoa Arusha.

Mh.Maalim Seif kushoto akiingia katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro(KIA) mda mfupi baada ya kushuka na ndege ya serikali jana, kulia ni Mkuu wa Mkoa Magesa Mulongo

Mh.Maalim Seif akiwa anasalimiana na Kamanda wa polisi Mkoa wa Arusha Bw.Liberatus Sabas

Maalim Seif akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu Bara wa chama cha CUF, Julius Mtatiro. Picha na Pamella Mollel wa Jamii Blog, Arusha.

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO