Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Wakati CUF wako Levolosi na timu nzima ya chama kitaifa, CHADEMA walikuwa wakiwasha moto Sombetini chini ya Kamanda Lema pekee

DSCN5469

Seehemu ya wananchi wa Kata ya Sombetini waliojitokeza kuhudhuria mkutano wa Chadema leo uliofanyika katika Kata hiyo na kuhutubiwa na Mh Lema na viongozi wengine wa Kata na baadhi wa Mkoa.

Katika mkutano huo kulitokea kioja cha wananchi kutaka kupigana wakigombea ofa ya Lema kwa kinamaa 30 aliowalipia kadi za chama. Baada ya Lema kutangaza kuwa kinamama wajitokeze atawalipia kadi, waliibuka wanaume na kuanza kushindana na wamama hao kugombania kadi hizo.

DSCN5494Wakina mama wakishindana nguvu na wanaume kuwania kadi za chama ofa ya Mh Lema leo Sombetini Arusha

DSCN5499Lema akihutubia mamia ya wananchi waliojitokeza katika mkutano huo

DSCN5508Ally banaga akirudisha mfuko wa fedha zilizochangwa na wananchi hao kwa ajili ya ujenzi wa Ofisi ya chama Kata ya Sombetini, Arusha leo.

DSCN5501

DSCN5449Baadhi ya viongozi wa Kata na Mkoa wa chama hicho

DSCN5474Lema akipokea kadi na vifaa vingine vya CCM vilivyokabidhiwa na wanachama hawa walioamua kuhama CCM na kujiunga na Chadema katika mkutano huo.

DSCN5448

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO