Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

MAJINA YALIYOPITISHWA NA HALMASHAURI KUU YA TAIFA YA CCM(NEC)

Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete,(kulia) na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Dk. Ali Mohamed Shein, wakifurahia jambo katika Kikao cha siku moja cha Kamati Kuu kilichofanyika jana katika ukumbi wa White House,Dodoma.

--

1. MKOA WA ARUSHA NAFASI YA MWENYEKITI WA MKOA

Sheilkh Adam Ibrahim CHORAH (61)

Ndugu Onesmo Koimerek NANGOLE (54)

Dr. Salash Mokosyo TOURE (61)

NAFASI YA KATIBU WA SIASA NA UENEZI (M)

Ndugu Isack Joseph COPRIANO (34)

Ndugu Jasper A. KISHUMBUA (52)

Ndugu Loata Sanare MOLLEL (43)

NAFASI YA KATIBU WA UCHUMI NA FEDHA (M)

Ndugu Hilal Ramadhani SOUD (57)

Ndugu Julius Wilfred MUNGURE (28)

Ndugu Juma Said LOSSINI (62)

NAFASI YA MWENYEKITI WA WILAYA WILAYA YA ARUMERU

Ndugu Abraham Mathew Ole SELLA (63)

Ndugu Joel Alphayo MOLLEL (56)

Nugu Raphael Long’idu MOLLEL (62)

WILAYA YA ARUSHA

Ndugu Jubilate Shileitiwa KILEO (64)

Ndugu Mussa Hamis MKANGA (57)

Ndugu Wilfred OleSoilel MOLLEL (45)

WILAYA KARATU

Ndugu Gerald John GWAVA (66)

Ndugu John Zacharia TIPPE (56)

Ndugu Mstapha Kassim MBWAMBO (36)

WILAYA YA LONGIDO

Ndugu Emanuel Lukas LAIZER (62)

Ndugu Kishil Ole Nabak MOLLEL (48)

Ndugu Mokoro Saruni LAIZER (45)

WILAYA YA MERU

Ndugu Severena Richanold MINJA (54)

Ndugu Furahini Nderea MUNGURE (54)

Ndugu Christopher Richard PALLANGYO (31)

WILAYA YA MONDULI

Ndugu David Pello KIVUYO Miaka 57

Ndugu Reuben Ole KUNNEY Miaka 67

Ndugu Solomon Kisika LUKUMAY Miaka 52

WILAYA YA NGORONGORO

Ndugu Ibrahim Sumat SAKAY (47)

Ndugu Metui Aile Ole SHAUDO (54)

NAFASI YA MJUMBE WA H/ KUU YA TAIFA (NEC)

WILAYA YA ARUMERU

Ndugu Fanuel Loishiye KIVUYO (40)

Ndugu Mathias Erasto MANGA (41)

WILAYA YA ARUSHA

Ndugu Godfrey James MWALUSAMBA (35)

Ndugu Harold Lyimo ADAMSON (30)

Ndugu Paulo Lotha LAIZER (54)

WILAYA YA LONGIDO

Ndugu Michael Lekule LAIZER (64)

Ndugu Parteyei Michael SYOKINO (67)

Ndugu Peter Reuben MUSHAO (32)

WILAYA YA KARATU

Ndugu Abdul Ramadhani BARIE (53)

Ndugu Daniel Awack TLEMAI (38)

Ndugu Daniel Tsingay ILLAKWAHHI (38)

WILAYA YA MERU

Ndugu Elishilia Daniel KAAYA (50)

Meja (Mstaafu) Irikael Sifaeli MBISE (57)

Ndugu Julius Wilfred MUNGURE (54)

WILAYA YA MONDULI

Ndugu Edward Ngoyai LOWASSA (59)

Dr. Salash Mokosyo TOURE (61)

Ndugu Nanai Taon KONINA (31)

WILAYA YA NGORONGORO

Ndugu Mathwe Ole K. NASEI (62)

Ndugu Abraham Manase MRASE (63)

Ndugu Saning’o Ole TELELE (58)

2. MKOA WA DAR ES SALAAM


WAGOMBEA NAFASI YA MWENYEKITI WA MKOA

Ndugu,Mattson Misesemo CHIZZI (64)

Ndugu,John John GUNINITA (53)

Ndugu,Ramadhani Rashid MADABIDA (62)

KATIBU WA SIASA NA UENEZI MKOA

Ndugu,William John MALECELA (51)

Ndugu,Juma Rajab SIMBA (54)

2

Ndugu,Salum Shomvi TAMBALIZENI (48)

KATIBU WA UCHUMI NA FEDHA MKOA

Ndugu,Tarimba Gulam ABBAS (56)

Ndugu,Eugen Elishilinga MWAIPOSA (60)

Ndugu,Michael Richard WAMBURA (45)

WAGOMBEA NAFASI YA MWENYEKITI WA WILAYA


WILAYA YA ILALA

Ndugu,Asaa Simba HAROUN (48)

Ndugu,Seleman Ally KARANJE (52)

Ndugu,Victus S. STAMBULI (53)

WILAYA YA KINONDONI

Ndugu,Salum Kondo MADENGE (61)

Ndugu,Nuru Chaurembo MSUMI (50)

Ndugu,Dr. Apollo Giese KISSAI (59)

(Bado masahihisho) WILAYA YA TEMEKE

Brig. Gen (Mst) Haroun R. OTHMAN (61)

Ndg Sikunjema Yahaya SHABANI (49)

Ndugu,Mohamed MBONDE (62)

NAFASI YA MJUMBE H/KUU YA TAIFA (NEC)


WILAYA YA ILALA

Ndugu Ditopile Tahadhali SELEMANI (60)

Ndugu Ulanga Agathon SIMBA (73)

Ndugu Patel Ramesh NARNBHAI (61)

Ndugu Mahanga Militon MAKONGORO (57)

WILAYA YA KINONDONI

Ndugu Kalist Joseph LYIMO (49)

Ndugu Dk. Sebastian C. NDEGE (37)

Ndugu Thabiti L. F. NTUYABALIWE (38)

Ndugu Saidi Rashidi OMAR (33 )

INGIA RUNDUGAI BLOG  KWA MAJINA ZAIDI

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO