Waziri wa Mambo ya Ndani, Dk. Emmanuel Nchimbi akiondoka baada ya kutimuliwa kwenye mkutano huo
Waziri wa Mambo ya Ndani, Dk. Emmanuel Nchimbi akiingia kwenye mkutano wa wanahabari viwanja vya Jangwani, Dar es Salaam leo, walioandamana kupinga mauaji ya mwandishi mwenzao, Daudi Mwangosi wa Channel Ten Tv,
" Dk. Nchimbi ondokaaaaa" mwandishi akipaza sauti kuungana na wenzake waliokuwa wanamkataa kuwepo Dk. Nchini.
Dk. Nchini akajaribu kuwatuliza waandishi bila mafanikio. Dk.Nchimbo akIondoka akisindikizwa na viongozi wa Jujwaa la Wahariri
PICHA ZAIDI ZA MAANDAMANO HAYO YA WAANDISHI WA HABARI KAMA ILIVYORIPOTIWA NA MWANDISHI BASHIR NKOROMO
Mwandishi Lauden Mwambona akiwa amegunga mdomo kama hivi wakati wa maandamano hayo
Waandishi wakiwa nje ya ofisi za Channel Ten jijini Dar es Salaam, kabla ya maandamano hayo
Hawa nao wakati mmoja ameziba mdomo, mwenzake akaziba macho kufikisha ujumbe wa kulaani mauaji ya Mwangosi
Hamis Kibari na Hamis Mzee, wakijadiliana jambo kabla ya maandamano kuanza kwenye ofisi za Channel Ten
Hili ni moja ya mabango waliyokuwa nayo waandishi
Jese Kwayi, Mzee Maro na mwezake wakiwa kwenye maandamano hayo
Mpigapicha huyu akifanya jitihada za kupata picha nzuri za waaandamanaji
Maandamano yakitoka Ofisi za Channel Ten kupitia Morogoro Rd
Ujumbe mwingine ni huu unaoelekezwa kwa Afande Mwema
Polisi akiwacheki kwa baaali wakati maandamano ya waandishi yakikatiza Barabara ya Bibi Titi Mohammed
Huyu ni Manyerere Jackton na bango lake
Polisi wakiwasindikiza waandamanaji, eneo la Fire
Waandishi wakiingia viwanja vya Jangwani
Dk. Rweitama ambaye ameshiriki maandamano hayo, akijadiliana jambo na Nyaronyo Kicheere kuhusu mambo mbalimbali wakati, baada ya maandamano kufika Viwanja vya Jangwani.
Baada ya waziri kuondoka, viongozi wa waandishi wakaanza kuzungumza. Huyu ni Jame Mihanji wa Kbabu ya Waandishi ya Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Muungano wa vyombo vya habari Karsan akizungumza kwenye mkutano huo
Viongozi wahahanikiza kulaani mauaji ya Mwangosi
Nevil Meena wa Jukwaa la Wahariri akizungumza
Dk. Rweitama ambaye ameelezwa kuwa rafiki wa wanahabari akizungumza baada ya kukaribishwa jukwaani
0 maoni:
Post a Comment