Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Prof. Lipumba Atangaza Operesheni Mchakamchaka Mpaka Ikulu 2015

Prof. Lipumba,ametangaza kuwa operesheni hiyo inaanza na mikoa 6

Julius Mtatiro akihutubia. Picha chini ni wananchi walioelezwa kujiunga na chama hicho.

Bwana Katani Ahmadi,mwenyekiti wa vijana wa CUF akisoma risala ya vijana kwa mwenyekiti

PICHA ZOTE NA MAELEZO: MJENGWA BLOG

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO