Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Lowasa akabidhi madawati 500 shule ya Msingi Minazi Mirefu Dar es Salaam

Waziri Mkuu aliejiuzulu kwa kashfa ya Richmond, Edward Lowassa akikata utepe wakati wa makabidhiano ya madawati 500 kwa shule ya msingi minazi mirefu iliyopo Ukonga jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mkurugenzi wa Mahusiano ya Serikari wa Kampuni ya African Barrick Gold, Emmanuel Ole-Naiko

Edward Lowassa akimkabidhi cheti Mkurugenzi wa Mahusiano ya Serikari wa Kampuni ya African Barrick Gold, Emmanuel Ole-Naiko wakati wa hafla ya kukabidhi madawati 500 katika Shule yua Msingi Minazi Mirefu iliyopo Ukonga jijini Dar es Salaam

Waziri Mkuu aliejiuzulu, Edward Lowassa akizungumza katika hafla hiyo.

IMEKUJIA HAPA KWA HISANI YA FATHER KIDEVU

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO