Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

TASWIRA–MKUTANO WA CHADEMA MWENGE, DAR ES SALAAM SIKU YA SEPT. 12, 2012

J2

J3

J4Katika mkutano huo uliofanyika eneo la stand ya daladala, Mwenyekiti wa Vijana taifa, Bw John Heche,  Ally Banganga na viongozi wengine wa chama hicho walihutubia mamia ya watu waliojitokeza kuwasikiliza.

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO