- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!



Jana mwenyekiti wa vijana Taifa wa CHADEMA, John Heche alipokea wanachama zaidi ya 50 wakiwemo waliokihama CCM na kujiunga na Chadema katika muendelezo wa programu yake za M4C nchi nzima. Heche aliwapa kadi za chadema wanachama hao wapya akiwamo aliyekuwa mwenyekiti wa UWT Kata ya Magulumbasi A.
0 maoni:
Post a Comment