Choo cha Mahakama ya Mwanzo Kisiwani Wilayani Same, kikiwa kimetelekezwa. Choo hiki ndio kinaelezwa kuwa kinatumiwa na mahabusu na watu wengine wanaokuja kufuatilia kesi za ndugu na jamaa zao Mahakamani hapo
Mradi wa Power Tiller katika kijiji cha Bangalala Same ambao umefeli. Matrekta haya yalitolewa na serikali kama mradi wa jamii kupitia PADEP na hakuna manufaa yaliyopatikana na vipuri vyote muhimu vimeibwa. (Picha&Maelezo: Chris Mbajo)
0 maoni:
Post a Comment