Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Rais Kikwete kugawa ng'ombe na kufungua machinjio kwa wafugaji wa Makuyuni leo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh Rais Jakaya M. Kikwete anatarajiwa kufanya makabidhiano ya ng;'ombe na wafugaji waliopata hasara baada ya mifugo yao kufariki kutokana na ukame uliokumba maeneo hayo mwaka juzi.

Taarifa zinaeleza kuwa Rais atakabidhi fidia hiyo ya ng'ombe eneo la Makuyuni, Wilayani Monduli, Arusha kama Serikali yake ilivyokuwa imeahidi.

Halikadhalika baada ya shughuli ya Makuyuni ataelekea Loliondo kufanya shughuli kama hiyo.
Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO