Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

CHADEMA wazidi kujiimarisha Handeni

DSC00122Kamanda Daudi Kilo (kulia) akiwa nje ya Ofisi ya CHADEMA Wilaya ya Handeni. Kwa muda mrefu tangu kumalizika kwa uchaguzi mkuu wa 2012 na chaguzi ndogo za Ubunge zilizojitokea, Chadema wamekuwa wakifanya juhudi kubawa za kujiimarisha maeneo tofauti ya nchi ili kujiweka katika mazingira mazuri ya ushawishi na uwezekano wa kukabidhiwa dola katika chaguzi zijazo.

Mkoa wa Tanga ni kati ya mikoa ambayo Chadema hawakuwa na ushawishi mkubwa hapo awali lakini kwa jinsi siku zinavyokwenda chama hicho kinazidi kujizolea wafuasi katika mkoa huo na Wilaya zake.

Daudi Kilo ni mzawa wa Handeni lakini shughuli zake nyingi za kiuchumi anazaifanyia Mkoani Arusha. Amekuwa mstari wa mbele sana kuisaidia kupeleka mwamko wa mageuzi ya kisiasa nchini katika maeneo ya Handeni ambako ni nyumbani kwa wazazi wake.

DSC00126Picha ya wanajamii na marafiki wa Daudi walioipokea CHADEMA Handeni

DSC00089Mwamko wa mabadiliko unaonekana sio kwa rika la vijana pekee..

DSC00091Ziara ya Daudi Kilo iliwezesha kuibua wanachama wapya jimboni humo

DSC00106

Mlezi wa tawi (msingi) hili, Daudi Kilo akitoa zawadi ya mipira kwa vijana

DSC00101

DSC00132

Kikao cha ndani..

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO