Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

DR. SLAA AWAFARIJI FAMILIA YA HAYATI DAUD MWANGOSI

Mti huu ni kumbukumbu kwamba umetutoka kimwili lakini ungali nasi kiroho hadi tutakapoungana nawe katika makazi ya Baba wa milele.

Dr. Slaa alipofika kwenye msiba wa familia ya hayati Daud Mwangosi kuwapo pole

Mjane wa Daud Mwangosi akilia kwa uchungu, ameacha mjane na watoto wanne.

Mtoto wa hayati Daud Mwangosi akimsalimia Dr. Slaa kwa uchungu alipofika kuwapa pole

.Hapa ni nyumbani kwa marehemu Daudi Mwangosi (picha kwa hisani ya Mjengwa Blog)

Source: Posted by Pamela Mollel on September 4, 2012

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO