Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Mkutano wa CHADEMA Marekani waahirishwa kufuatia mauaji ya Iringa, Mh. Freeman Mbowe safarini kurejea nyumbani

Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mh. Freeman Mbowe, akishindikizwa kwenye Uwanja wa Ndege wa Reagan National Airport na baadhi ya viongozi wa Tawi la Chadema DMV safarini kuelekea Nchini Tanzania,  baada ya mkutano rasmi  uliofanyika Siku ya Jumamosi Sept 1, 2012, kwenye ukumbi wa Hoteli ya Hampton Inn College Park, Maryland Nchini Marekani.

Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi (Mr II), Liberatus Mwang'ombe, Ludigo Mwaigama, na Mwenyekiti Cosmas Wambura, wakimshindikiza  Mh. Freeman Mbowe leo Jumatatu Sept 3, 2012 kuelekea nyumbani Tanzania

Mh. Freeman Mbowe akipta picha ya pamoja na Viungozi wa Tawi la Chadema DMV wakatiwa safari yake ya kurudi Nchini Tanzania, (Wa kwanza kulia) Muweka hazina Ludigo Mwaigama,akifuatiwa na Katibu wa Chadema DMV Mh. Isdori Lyamuya, na wamwanzo kulia ni Mwenyekiti Cosmas Wambura

Uongozi wa Chadema DMV wakimtakia Safari njeema Mh. Freeman Mbowe

SOURCED FROM MAISHA TIMES BLOG

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO