Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

TASWIRA: MAZISHI YA MWANDISHI DAUDI MWANGOSI

 

Katibu mkuu wa Chadema Dr Wilbroad Slaa akitoa risala kwa niaba ya Chadema kwenye Mazishi ya Daudi Mwangosi.

Baadhi ya Wananchi waliojitokeza kwenye mazishi ya Daudi Mwangosi.

Mke wa Marehemu Daudi Mwangosi akilia kwa Uchungu. Picha chini, mjane huyo wa marehemu akiaga mwili wa mume wake

Mwanaharakati Fransis Godwin akieleza mauti yalivyomkuta Daudi Mwangosi.

 Waandishi wa Habari wakiwa wamebeba Mwili wa Marehemu kuelekea Makabirini

Wakiwa wanafanya ibada ya Mwisho kabla ya kuanza maziko

Hapa wakiwa wanashusha mwili wa marehemu katika Nyumba yake ya milele

Mwili wa Marehemu Daudi Mwangosi ukiwa Tayari katika Kaburi

Shughuri za kuzika zimeanza

 Mazishi yanaendelea 

 Mke wa Marehemu Daudi Mwangosi akiweka Shada la Mauwa kwa machungu

Mke wa Daudi Mwangosi akiwa analia kwa uchungu katika Kaburi la Marehemu Mumewe

Watoto wa Marehemu wakiwawanaweka mashada ya maua sasa 

Ni ngumu sana Kuamini kwa mke wa Marehemu lakini hali ndivyo ilivyo kuwa akiwa na huzuni kubwa

 Dr Slaa akiweka Shada la Mauwa 

Dr Slaa Baada ya kumaliza kutoa heshima za mwisho

Mh. Mark Mwandosya akiweka Taji la maua pamoja na mke wake 

Rais wa UTPC, Keneth Simbaya akiweka shada la Maua

Mwenyekiti wa Mbeya Press Club akiweka shada la maua 

Mwandishi Mkuu wa Mbeya  yetu, Ndugu Joseph Mwaisango akiwa anatoa heshima zake za Mwisho katiaka Kaburi

Waandishi wa Habari wakichukua Tukio Live `

Na huu Ndio Mwisho wa tukio zima la Mazishi ya Ndugu yetu, Mwanaharakati, Mpiganaji Daudi Mwangosi aliyekuwa Mwandishi wa Chanel 10.

Picha na Chadema Blog &Mbeya Yetu Blog kupitia M4C News Blog

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO