Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Makutano Show: Mahojiano Mh Zitto Kabwe Part2



Hii ni sehemu ya pili ya Mahojiano kati ya Fina Mango na Mh Zitto Kabwe katika studio za Magic Fm, Dar es Salaam. Kwa mujibu wa mtangazaji Fina, maswalai mengi katika sehemu hii yanaelezwa kuwa yametoka kwa watumiajiwa mtanadao wa Jamii Forum (JF)

Source: http://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/303893-video-mahojiano-na-mh-zitto-kabwe-katika-makutano-show.html
Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO