Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Makutano Show: Mahojiano na Mh Zitto Kabwe Part1




Hii ni sehemu ya Kwanza ya Mahojiano kati ya Fina Mango na Mh Zitto Kabwe katika studio za Magic Fm, Dar es Salaam kuhusiana na maswala mbalimabli ynayomhusu mbunge huyo ikiwemo nia yake ya kuja kuwa raia wa nchi hii huko baadae. pamoja na tuhuma za rushwa kwa wabunge wengine na yeye akiwemo.

Part2 ya mahojiano haya inapatikana posti inayofuata katika blog hii..

Source: Jamii Forum
Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO