Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

REAL MADRID YATOLEWA UEFA BAADA YA KUCHAPWA NA BORUSSIA DORTMUND 4-3 (AGGREGATE)

Cristiano Ronaldo akiwa ameduaa baada ya kukosa goli

Cristiano Ronaldo akimpita mchezaji wa Borussia Dortmund, Sven Bender

Mchezaji wa Borussia Dortmund, Ilkay Guendogan akimkaba mchezaji wa  Real Madrid, Xabi Alonso

Karim Benzema akifunga goli la kwanza 

Karim Benzema akijaribu kuchukua mpira kwa golikipa wa Borussia  Dortmund, Roman Weidenfeller

Mchezaji wa Real Madrid', Sergio Ramos,akifunfa goli na kusababisha ubao wa magoli kusomeka 2-0

Robert Lewandowski akijaribu kuwapita Sergio Ramos na Michael Essien katika mechi ya pili iliyowafungisha vilago Real Madrid

Sergio Ramos akishangilia na Karim Benzema baada ya kuifungia timu yake goli la pili

Wachezaji wa Borussia Dortmund wakishangilia baada ya kufanikiwa kuingia fainali kwa kuifunga Real Madrid kwa 4-3

Picha na mashirika ya habari ya kimataifa kwa hisani ya HabariMpasuko

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO