Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Breaking News: Basi la Dar Express kutoka Arusha kwenda Dar linateketea kwa moto eneo la Segera

Taarifa tuliyopokea muda huu inaeeza kuwa basi la kampuni ya Dar Express lililokuwa linatoka Arusha kwenda Dar es Salaam limeshika moto na kuungua kabisa pamoja na mizigo yote ya abiria, kama picha inavyoonesha. Hata hivyo, hakuna mtu alieripotiwa kujeruhiwa. Picha kwa hisani ya Tone Radio

Taarifa zaidi zitakujia kupitia hapa

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO