Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Yanga na Simba zatoka suluhu ya 1-1

Miamba ya soka nchini, Simba ya Yanga zilitoshana nguvu katika mpamabano wa jana jioni katika uwanja wa Taifa Dar es Salaam, mpambano ambao ulioneshwa moja kwa moja na kituo cha Super Sports.

Mabingwa wa ligi kuu soka Tanzania Bara Simba na mabingwa klabu bingwa Afrika Mashariki na Kati, Yanga jana walitoka suluhu kwa kufungana sare ya bao 1-1.

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO