Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Ole Sendeka amshinda Nyari ujumbe wa NEC (CCM) Simanjiro

Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) wa Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara,Christopher Ole Sendeka (kushoto) akiwa na mpinzani wake Diwani wa Kata ya Mirerani, Justin Nyari baada ya kumbwaga katika uchaguzi wa CCM wilayanikwa kupata kura 471 na Nyari kura 126. Picha na Joseph Lyimo wa Mwananchi

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO