Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

TASWIRA: ZIAYA YA UJENZI WA CHAMA (CHADEMA) TERRAT SIMAJIRO

ziara Terat Simanjiro - Joshua NassariMbunge wa Arumeru Mashariki (Chadema), Mh Joshua Nassari akihutubia katika mkutano wa chama chake uliofanyika Wilayani Simanjiro eneo la Terrat juzi

ziara Terat Simanjiro1Sehemu ya viongozi na wanachama wa Chadema walioambatana na Gpdbless Lema na Joshua Nassari kazika ziara hiyo.

ziara Terat Simanjiro6Chris Mbajo jukwaani mwenye mikrofoni akizungumza mara baada ya kupewa nafasi kusalimia wananchi

ziara Terat Simanjiro - LemaAliekuwa Mbunge wa Arusha Mjini, Mh Godbless Lema akikinadi chama chake katika mkutano huo

ziara Terat Simanjiro3

ziara Terat Simanjiro - wanagombania kadiMh Lema akigawa kadi za uanachama kwa wananchi wa Terrat

ziara Terat Simanjiro - mwanachama mpyaKamanda wa Chadema, Jacksona Makalla akiwa na mmoja wa wanachama wapya wa chama hicho waliojiunga kwa mara ya kwanza katika ziara hiyo

ziara Terat Simanjiro2

ziara Terat Simanjiro5Picha zote na Jacksona Wilson Makalla

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO