Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Washiriki Redds Miss Tanzania 2012 wakaribishwa Monduli kwa shangwe

Dada wa Mbunge wa jimbo la Monduli na Waziri Mkuu mstaafu Kalaine Lowasa akiwavisha warembo wanaoshiriki shindano la Redds Miss Tanzania 2011, mgolole wa kimasai wakati warembo hao walipoandaliwa tafrija maalum ya kuwakaribisha katika mji wa Monduli.Kushoto ni Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge w Monduli, Regina Lowasa.Warembo hao wapo Kanda ya Kaskazini kutembelea vivutio mbalimbali vya Utalii vilivyopo katika mikoa hiyo

Robert Lowasa nae alivishwa Mgolole kutokana na mchango wake mkubwa alioutoa kufanikisha warembo hao kufika mji i

Warembo wakiwa wamekaa na mavazi yao yimasaai

Baadhi ya wadau waliohudhuria tafrija hiyo

Nao walikuwepo

Viongozi wa kamati ya Miss Tanzania

Picha ya pamoja

Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu, Regina Lowasa akicheza mziki wa Kwaito na Warembo wanaoshiriki shindano la Redds  Miss Tanzania 2012, wakati wa tafrija maalum ya kuwakaribisha warembo hao katika mji wa Monduli jana mkoani Arusha. Warembo wa Redds  Miss Tanzania wapo Kanda ya Kaskazini kutembelea vivutio mbalimbali vya Utalii vilivyopo katika mikoa hiyo. 

Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu, Regina Lowasa na mtoto wake Robert Lowasa 'Bob" wakicheza mziki wa Kwaito na Warembo wanaoshiriki shindano la Redds  Miss Tanzania 2012, wakati wa tafrija maalum ya kuwakaribisha warembo hao katika mji wa Monduli jana mkoani Arusha. Warembo wa Redds  Miss Tanzania wapo Kanda ya Kaskazini kutembelea vivutio mbalimbali vya Utalii vilivyopo katika mikoa hiyo.

Source: Father Kidevu

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO