Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

News Updates: Dr Slaa apata udhuru kwenda Arusha kuzindua Kampeni za Udiwani

Taarifa za kuaminika ambazo blog hii imezipata unaeleza kuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, Dr Wilbroad Peter Slaa alietarajiwa kushirikiki katika uzinduzi wa Kampeni za Udiwani Kata ya Daraja Mbili Jijini Arusha, hataweza kuhudhuria tukio hilo tena kutokana na sababu ambazo hazijawekwa wazi.

Blog hii bado itaendelea kufuatilia na kukujuza kilichojiri.

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO