Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

SHEREHE ZA MEI MOSI JIJINI ARUSHA ZILIKUWA HIVI

wafanyakazi wa kiwanda cha SUNFLAG wakiwa na sare zao kwenye maandamano katika barabara ya Makongoro

wafanyakazi wa kampuni ya Lodhia wakiwa wamebeba bango lao

WAFANYAKAZI WA KIWANDA CHA KUTENGENEZA CHANDARUA CHENYE DAWA CHA A TO Z WAKIWA NA MABANGO YAO

PICHA NA PAMELA MOLLEL (JAMII BLOG)

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO