Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Arusha Publicity walipokutana LIBENEKE PUB Sakina - Arusha

IMG_6182

Bloggers wa Arusha; kutoka kushoto Gadiola Emanuel (Wazalendo25), Woinde Shizza (Libeneke La Kaskazini) ambae pia ni mmiliki wa  LIBENEKE PUB iliyoko maeneo ya Sakina, na Victor Machota (Asili Yetu Tanzania) pamoja na Tumainiel Seria (Arusha255) mwenye jezi ya taifa picha inayofuata; wakibadilishana mawazo katika Pub ya Libeneke jioni ya leo

IMG_6183

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO