Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

RAIS WA SEATTLE SOUNDERS ALIPOKUTANA NA RAIS KIKWETE IKULU

Rais wa Seattle Sounders FC ya Marekani, kushoto, akizungumza na rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete Ikulu mjini Dar es Salaam jana.

Hapa wanamkabidhi rais Kikwete jezi ya Sounders

akimuonyeasha jambo kwenye kompyuta rais Kikwete

Ujumbe wa Sonders baada ya kufika Ikulu jana

Ujumbe wa Sounders katika picha ya pamoja na rais JK jana PICHA NA BIN ZUBEIRY BLOG

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO