Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Wanyama hai Mjini Qatar wanaodaiwa kutoka Tanzania na sehemu nyingine duniani

image

image

image

image

image

Ndege ya Kijeshi ya QATARI katika uwanja wa Kimataifa wa Kilimanjaro. Inadaiwa ilikuwa uwanjani hapo kuchukua wanyama hai na kuwapeleka Falme za Kiarabu.

PICHA ZOTE NA MAELEZO: Ripoti ya Tanzania Human Right Activists ya Disemba 27, 2012; Ripoti iliyotumwa Umoja wa Matifa “United States Congressional Committees” iliyopewa kichwa cha habari “Tanzania Descent into Dictatorship: Security Organs vs. Democracy”

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO