Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Taswira: Mama Josephine Mushumbusi na vijana wake aliowafadhili kupatiwa mafunzo kuhusiana na usafi wa mazingira nchini India

india6

Mwenza wa Katibu Mkuu wa Chadema, Mama Josephine Mushumbusi akifafanua mada fulani katika mafunzo yanayoendelea mjini New Delhi, India.

Mama Josephine Mushumbusi, ambaye kwa moyo wa kujitolea, alifunga safari kwenda India, huko akakuta elimu fulani ambayo ingewafaa Watanzania. Hakuwa mchoyo, hakupigia simu ndugu na jamaa zake, badala yake akaenda Singida, Tunduma, Ubungo, Bunju na Mwanjelwa, akakusanya watanzania kadhaa akawanunulia tiketi ya ndege na kuwapeleka Chuo kiitwacho Sulabh International Organization kwa ajili ya kujifunza SANITATION ana SOLID WASTE MAMAGEMENT.
Hapa

india

india1

india2

india4

india5

Picha zote na Daniel Gingo

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO