Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

DK. MUKANGARA MGENI RASMI KILI MARATHON

Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Executive Solution, Aggrey Marealle (KATI).ambaye ni  waratibu wa mashindano ya Kilimanjaro Marathon  akisisitiza jambo kwa Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo  Dk. Fennela Mukangara, jana jijini Dar es Salaam. Kampuni ya Executive Solution, ndiyo waratibu wakuu wa shindano hilo ambapo linatarajiwa kufanyika mjini Moshi Machi 3, mwaka huu, ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Waziri Mukangara. Kulia ni Mkurugenzi wa  Uhusiano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Steve Kilindo.  (PICHA NA BENJAMIN SAWE, KWA HISANI YA MWAIKENDA)

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO