Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

DStv Kanda ya Kaskazini inaendelea na uzinduzi wa maonesho ya moja kwa moja ya Michuano ya AFCON 2013 katika Klabu ya Babylon Jijini Arusha usiku huu

DSC09199

Kampuni ya Mutlichoice Tanzania (DStv) Kanda ya Kaskazini inaendelea na uzinduzi wa matangazo ya moja kwa moja ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika katika ukumbu wa burudani wa Babylon uliopo Jijini Arusha, michuano ambayo inafanyika nchini Afrika Kusini na kurushwa moja kwa moja na kituo cha Super Sport 4!

Akizungumza na Blog hii, meneja masoko wa Kampuni ya Multichoice Tanzania, Ms Furaha Samalu amesema kuwa huu ni mwendelezo wa kampuni hiyo kuwaletea watanzania burudani na msisimko bila kikomo, ambapo mechi zote 32 za michuano hiyo zitarushwa live.

Kwa upande wake Meneja Mauzo wa Kanda, Bw Christopher Mbajo amesema kuwa wanaitumia michuano hii kujitangaza na kuuza ving’amuzi zaidi na kwa bei nafuu kuziweseha familia nyingi za kitanzania kupata uhondo na burudani za DStv wakiwa majumbani kwao bila bugudha yeyote.

DSC09206Bw Jeff, wa mtandao wa Bongo Celebrity akiseti mitambo yake tayari kwa kazi ya kuchukua matukio

DSC09209

DSC09192Nakshi nakshi za DStv katiba ukumbu wa burudani wa Babylon uliopo Jijini Arusha.

DSC09195

DSC09211Kutoka kushoto; Ms Furaha Samalu (Marketing Manager wa DStv Tanzania), “CEO” wa Blog hii, na Millard Ayo wa millardayo.com na Clouds Fm katika uzinduzi wa maonesho live ya Fainali za Michuano ya Mataifa ya Afrika zilizoanza leo nchini Afrika Kusini.

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO