Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

TASWIRA: MAHAFALI YA NNE CHUO CHA UFUNDI ARUSHA YALIVYOFANA

imageWanafunzi Bora wa Kike kwa kila idara walizawadiwa Kompyuta aina ya
laptops kutoka ufadhili wa Shirika la Maendeleo la Italia

imageMkuu wa Chuo cha Ufundi, Eng. Dkt. Richard Masika akitoa Hotuba wakati
wa mahafali ya Nne ya Chuo.

imageMgeni rasmi , Naibu waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Mh. Philipo Mulugo(kushoto) na Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha, Eng. Dkt. Richard Masika wakiwa wameshikia mfano wa Hundi wa sh. Mil 10 kwa ajili ya wanafunzi 10 bora. Fedha hizi ni Ahadi ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Mizengo Peter Pinda, wakati wa mahafali ya Tatu mwaka 2012 kwa wanafunzi bora wa chuo hicho.

 

Picha na 3:
Mgeni Rasmi, Mh. Philipo Mulugo akihutubia wahitimu na wageni waalikwa

imageMkuu wa Bodi ya chuo cha Ufundi Arusha, Bw. Abraham Nyanda alitoa
Hotuba wakati wa Mahafali

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO