Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

MTANGAZAJI NA DJ SAMORINA AMBAKISYE ( DJ BUPE) WA MJ FM KUZIKWA KESHO JIJINI ARUSHA

O

Bloga na mwandishi wa habari Jijini Arusha, Pamella Mollel (katikati) akiwa nyumbani kwa marehemu kuhani msiba wa Dj Bupe, eneo la Majengo Jijini hapa

RAFIKI WA MAREHEMU PAMELA AKIWA NA MTOTO WA MAREHEMU

Pamella akimfariji mtoto wa marehemu
BAADHI YA MARAFIKI  WALIPO UDHURIA MSIBA WA DJ BUPE NYUMBANI KWA MAJENGO ARUSHA 17 JAN 2013

Baadhi ya ndugu, jamaa, majirani na marafiki wa marehemu wakiwa msibani nyumbani kwake Majengo jana

BAADHI YA MARAFIKI NA WAFANYAKAZI WA MJ FM WALIPO UDHURIA MSIBA WA DJ BUPE NYUMBANI KWA MAJENGO ARUSHA 17 JAN 2013

Baadhi ya marafiki wa marehemu na wafanyakazi wa MJ Fm walipojudhuria msiba wake jana eneo la Majengo Arusha

O

KUSHOTO NI MCHUMBA WA MAREHEMU NA KATKATI NI MTOTO WA MAREHEMU

Kushoto ni mchumba wa marehemu na mtoto alieachwa na marehemu katikati.

bupeMarehemu Dj Bupe enzi za uhai wake akiwajibika

Picha na PAMELA MOLLEL

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO