Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Taswira Zaidi: Jinsi Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Wilbrod Slaa,Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nasari,Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema Walivyoung'uruma Kwenye Mkutano Wa CHADEMA Njiro Moshi juzi

Maelfu ya wananchi waliojitokeza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Reilway Njoro mjini Moshi na kuhutubiwa na viongopzi mbalimbali wa chama cha demokrasia na maendeleoCHADEMA,wakiongozwa na Dk Wilbroad Slaa. .

Katibu mkuu wa Chadema Dk Wilbroad Slaa akihutubia maelfu ya wananchi waliojitokeza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Reilway Njoro mjini Moshi .

Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassari akihutubia maelfu ya wananchi katiika viwanja vya Railway Njoro wakati wa mkutano wa hadhara .

Mbunge wa jimbo la Arusha mjini Godbless Lema akichangisha fedha kwa ajili ya kufanikisha mikutano ya chama hicho inayoendelea sasa maeneo mbalimbali nchini.

Vijana wa sarakasi wakionesha umahiri wao mbele ya Dk Slaa wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Railway Njro mjini Moshi.

Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbrod Slaa akiwapongeza Vijana wa Sarakasi

Moja ya wakazi wa mji wa Moshi ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja akicheza wakati wa mkutano wa hadhara wa Chadema uliofanyika viwanja vya Railway Njoro mjini Moshi

Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassari akiteta jambo na katibu wa chadema mkoa wa Kilimanjaro Basl Lema ,kulia kwake ni Dk Slaa.

PICHA NA HAKI NGOWI.COM

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO