Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

AJALI UBUNGO STENDI: UKUTA WA KITUO CHA MABASI WAANGUKA NA KUHARIBU MAGARI

1

Gari linalosadikiwa kuwa ni la polisi likiwa limeharibiwa vibaya na ukuta wa kituo kikuu cha mabasi yaendayo mikoani cha Ubungo Bus Terminal baada ya nguzo zake kudondokea magari mbalimbali yaliyokuwa yameegeshwa katika eneo hilo, jumala ya magari 24 yameharibiwa vibaya katika tukio hilo Bajaji 4 na watu watatu wamejeruhiwa na mkukimbizwa Hospitali,

2

3

4

5

6

 

7

8

10

PICHA ZOTE NA FULL SHANGWE

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO